Duration 3:4

ACHENI BALAA, MAMA AMEANZA VIZURI, WATU WANAFURAHA, MAGUFULI KAMUACHIA GHAFLA - MSTAAFU MWINYI

77 060 watched
0
439
Published 12 Apr 2021

Category

Show more

Comments - 190
  • @
    @husseinmkanga77943 years ago Mama alikuwa makamu wa rais na mengi jpm aliofanya yeye alishiriki. Sasa kama alishiriki maamuzi leo anayaruka. Natumai arishirikishwa kuhusu bandari, . ...Expand 3
  • @
    @joasitz95593 years ago Hadi raha, proudly tanzanian. Hongera rais mwinyi we real love you. 7
  • @
    @benjaminjoseph17473 years ago Babu mungu akubariki akulinde.
    you speak purely from your heart.
    6
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Mzee ruksa kashatua hapa mna lenu jambo maisha sasa ni mteremko kazi iendele. 4
  • @
    @dorcasseruhere68753 years ago Baba asante rais mstaafu mungu akupe miaka mingi. Baraka zako ataweza rais samia suluhu munguakujalie nakuombea wewe ni shujaa mkubwa naweza kasema unaweza . ...Expand
  • @
    @laghtnesphilipo4893 years ago Babu mungu akupiganie maisha marefu kwako huwaga unanifurahisha sana vile unaongeaga.
  • @
    @skjjsj18893 years ago Mzee ruksa nywele nyeupe lkn uko vzr
    allah akubariki.
    3
  • @
    @shahidhassan6023 years ago I wish he was my grand father i' m realy possesed with this man.
  • @
    @mwadiabulymoshabani63363 years ago Tunataka kuona kazi zake, si maneno ya kusifia tu. Tunamuamini kwasababu ni mwanamke. Tunajua ikiwa atafanya kwa kuwa na hofu ya mungu na sio ya wanadamu wanaomzunguka atafanya vizuri sana.
  • @
    @eagtsayunikigogo60263 years ago Baba asante sana kwa maneno ya faraja na kutukumbusha kua tulikua na raisi mzuli na mama ameanza vizuli piga kazi mama. 2
  • @
    @BenWerner25303 years ago Kuanza vizuri sio kufanya vizuri. Muda ni dakitari mzuri sana. Ni mapema mno kuongea hivi. Hotuba yake ina mengi ya kujiuliza? Kazi kubwa anayo mbele. Vision, mission, plan upungufu. 3
  • @
    @dorcasseruhere68753 years ago Nakuombea yanasemwa mengi tunayasikia mungu atasimama juu yako kila mzazi aliye zaa na amwombee mwanaye samia amezaliwa na mama mwenzetu tumwombee mazuri amen.
  • @
    @kadashijunior21413 years ago Sipika aachee bala, nadhani amesikia mzee ruksa, kazi kwake. 5
  • @
    @jacquelinmwakasala95633 years ago Kwel
    babu na mm naomba mungu snipe maisha marefu kama wewe babu pamoja na mume wangu.
  • @
    @faridahalwaily853 years ago Mwenyezimngu akubareek akupe umriey mwema mrefu kwakuzidi kuwafunguwaa akili na moyo mushikameni kwa furaha na amani.
  • @
    @rahabnkya82763 years ago Saaf sana mheshimiwa rais mstaafu. Wazee dawa kabisa ushauri mzuri sana jamani. 5
  • @
    @rithakuyala99513 years ago Tunaomba mzee wetu waambie hao wanaokaa kumsema vibaya shujaa wetu, mungu ampumzishe kwa amani mzalendo wetu jembe letu. 3
  • @
    @skjjsj18893 years ago Wee kijana
    mimi mama ukinizingua tutazinguana.
    3
  • @
    @greatiq78353 years ago Sir. Ali hassan mwinyi a. K. A. Muungwana!
  • @
    @zachariabahati60643 years ago Mzee mwinyi ni rais wa tofautkama baba mwema. 4
  • @
    @kaundasutikaunda77693 years ago Mzee mwinyi safi sana yani hana kinyongo na mtu akifanya vizuri anamsifi sio wazee wengine wana roho ya kwann sijui kwann? Mungu mlinde mzee wetu huyu ni hazina ya taifa. 12
  • @
    @shamzone3883 years ago Maneno mazuri sana mzee tulikupenda na bado tunakupenda na mama samia tunampenda na tutazidi kumpenda rais wetu yuko ok. 1
  • @
    @oscarkasalile84423 years ago Wanakuchosha bure ilitakiwa walikufuata nyuma yako ndio wawewashauri wazuri lakini hawapo hivyo mpaka mungu kakutuma wewe. Mimi nakumbuka maneno ya hayati . ...Expand 10
  • @
    @newlifeforever58943 years ago Tatizo amefungua milango ya watu kumchafua magufuli ili yeye aonekane ni mwema. Rip baba magufuli. 15
  • @
    @vincentmushi12473 years ago Babu wa taifa kasema tuacheni balaa
    babu kuna watu hawajasikia ongezababu oyeee.
    4
  • @
    @flavialeonardissangu13113 years ago Mwanzo ni mzuri lakini niheri kuwa na mwanzo mbaya kuliko kuwa na mwisho mbaya. 3
  • @
    @aviationwonders75753 years ago Oh. Jamani. Yuko vizuri kwa miaka 90? Mungu. Akubariki. 5
  • @
    @clementmwaitebele76873 years ago Asante kwa kumpa nguvu mh. Rais wetu samia. Kama tulimpenda jpm hata huyu rais tutampenda tutamtetea kwa hali na mali. 6
  • @
    @joyelia53563 years ago We love you babu. Hiya gafla babu inauma sana magu wetu waambie sindano hatutaki.
  • @
    @alisaleh25073 years ago Asante babu, ingawa cc wengine tulikua wadogo lkn ruksa yako ilifungua akili za watanzania, mungu akusamehe ulipokosea, na akulipe ulipopatia, na akujaalie mwisho mwema. 8
  • @
    @agustinoezekiel3673 years ago Kazi ngumu saana bila hekima ya kimungu huwez. 1
  • @
    @issazakaria8633 years ago Mwinyi bado kijana ishi sana mzee wetu. 1
  • @
    @nassoromangi35973 years ago Kweli raisi samia yupo vzr sana sababu anafuata katiba ya serikali.
  • @
    @safinatourssafaris25193 years ago Tuendelee na maombi mungu awatoe wote: wamemtoa jpm wetu. 1
  • @
    @khamisraskashandago26943 years ago Ayo kwan hatuwez kukupa tuzo sie maana dah upo juu sana. 1
  • @
    @KamwandaNzowa-eo4ur5 months ago Ni kweli alianza vizuri lakini anaendeleya kufanya vizuri?
  • @
    @mikelinagomezi17663 years ago Si mchezo, mimi lini kufika 96 mungu mpe uhai baba yetu afike 100. 1
  • @
    @betuelmchome32243 years ago Muo gope mungu kwan kuna hata mmoja mmesema kafanya vibaya akiwa madarakan simpaka aondoke.
  • @
    @josephatjordan55603 years ago Kwanza kaanza kwa kusahau afu kahamia kwenye nyimbo eti once moreee.
  • @
    @khdigahk42463 years ago Mama sit uwapi umuulize upo wapi vile.
  • @
    @gaspermaselo38963 years ago Tatizo la mama anakaa dar2 mwambie aje na gari mpaka kigoma huku ni shida asije na ndenge apite akisikiliza matatizo ya watu siyo kuagiza. 1
  • @
    @deusdedithkulwa87243 years ago Sawa babu yetu tumwache mama afanye mambo rais mwanamke huruma kama kawa na wanawe mungu mbona katupendelea? Wrote tuseme amina. 2
  • @
    @shamsiaabdul86793 years ago Dah, miaka 96 lakini hekima kubwa bado ipo kichwani mwake.
    ibada ni kitu bora sana wallahi. Dah.
  • @
    @edenbaraka75333 years ago Kweli kabisaa hata mim nina matumaini mapya sasa mungu amubariki mama yetu.
  • @
    @deocrasiousafrican92723 years ago Kweli mama ako chonjo sana. Ila akeme kauli yakigadi. Tanzania haina magaidi akumbuke anatembea mataifa makubwa akiomba uwekexaji.
  • @
    @joycekarim91843 years ago Mengi ameshirikishwa likiwemo la wafanya biashara leo tunasikia walikimbizwa warudi nani.
  • @
    @dorahy15793 years ago Hao wabunge watajijua wenyewewansomba kura kwa wananchi wa kawaida wanakuwa watanzania. Wakisha ingia bungeni wanaota mabawa wanakuwa na dharau na kejei, wanajins kama mungu ws duniani. Mama hiyo ni miaka 61. Ni mzee siyo kijana. Lakini ninaenda lugano ya mzee mwinyi. Ni mtu muungwana kabisa. ...Expand
  • @
    @oscarkasalile84423 years ago Mzee tunakuelewa sana ila mzee wewe ndio mshauri mzuri uliebaki wengine wanataka hii nchi iwe yao waendelee na yao hatutaki bora mungu amekuacha tayari imeiponyakwenye migogoro. 2
  • @
    @enocklema72133 years ago Yapi wanayapenda atuyapendi ata moja atuwapendi nyie sampuli izi mnalazimisha atuwataki.
  • @
    @dorahy15793 years ago Sikusoma. Barua yako. Lakini wewe. Ndiyo mnafiki siyo msghufuli. Huna hata heshima. Dini ni kitu kizuri wasiyokuwa na dini pia waheshimiwe maghufuli akilaximusha mtu kuingia dini yeyote lak8ni aliheshimu watu kwenye nafsi zao kwa kuwa wewe zezeta hakuna atakayekuamsha endelea kulala na kufumba macho na kuzibs masikio maana unavyo na huvitumii. Kwa hivyo vilalie
    .
    ...Expand
  • @
    @zaydelabay97763 years ago Mnamsumbua mnataka awachekeshe tu muachen apumzike. 1
  • @
    @Benj7223 years ago Hahaha mzee huyu anamuita mtu mwenye miaka 61 kijana.
  • @
    @bongobongo17553 years ago Yaani mwinyi ndio pekee anaona vision ya magu, awa wengine washanunuliwa, eti bandari ya bagamoyo you mad. 1
  • @
    @stanslausbernard59503 years ago Kuanza vizuri maana yake nini? Huyu hajatimiza siku 100 mwajuaje kaanza vizuri au la? Taathimini yangu ya haraka yaonyesha kuwa hakuwa msaidizi wa kuaminika wa jpm. Naona walivumiliana tu. 6
  • @
    @afyanahassani21703 years ago Ushuhuda wa mgojwa wa maungio ambae amepona kwa kutumia dawa ya kutibu tatizo la maumivu ya^ maungio, kulika kwa maungio na kuisha kwa ute kwenye maungio: ya mifupa kusagana katika maungio, na tiba ya maumivu ya viungo )mfano
    nk
    kwanza,
    kwa nini mifupa husagana kwenye viungo na kuleta maumivu makubwa?
    kichwa cha mfupa katika viungo kimezungukwa na mfupa laini uitwao
    kazi ya) ni kuzuia mfupa usisagane na mfupa mwenzake kwenye viungo,
    pia kuna ute (synovial fluid) ambao ni grisi yakulainisha
    mtu anapofikisha miaka 30 cartilage huanza kulika na kusababisah mifupa kugusana na kusagana kwenye viungo hadi ule ute kupotea,
    hii hisababisha maumivu makali kwenye viungo, hadi kupelekea mtu kushindwa kujongea ipasavyo,
    tatizo huongezeka umri unapozidi kuwa mkubwa na uzito unapoongezeka,
    arthroextra ni bidhaa inayorejesha ute na
    hivyo husaidia mifupa isiendelee kusagana kwenye viungo, huondoa maumivu haraka.
    =gt; zaminocal huongeza madini ya calcium hivyo husaidia kupina haraka,
    ni kirutubisho cha asili, haina piga 06763857 kupata huduma
    .
    ...Expand