Duration 12:21

BODABODA MANYARA WATOA YA MOYONI KWA RC MAKONGORO NYERERE

12 422 watched
0
72
Published 8 Oct 2021

WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 29
  • @
    @christianchando70413 years ago Safi sana makongolo, mungu akubariki kwa maamuzi yako ya busara. Utu uzima dawa) 3
  • @
    @kikotikikoti71763 years ago Kweli tz askari bado shida sanaa ni waonezi mno. 3
  • @
    @francismkenda2 years ago Mhe. Mako nimekuzoea kwenye utani na ucheshi tu kumbe mzee kwenye mambo ya serious upo serious namna hii, mungu akulinde baba.
  • @
    @nativeinfotv96203 years ago Makongoro safi kabisa. Haki ifuate mkondo wake. 1
  • @
    @godfreymasele88533 years ago Du yani hapo magugu binafsikisa taa moja haiwaki. Sasa bulbu jamani wakati wowote ule huungua.
  • @
    @mrematvbabakoku83363 years ago Hili jembe tukilipata hapa daresalam tutaishi kama tupo paradiso. 2
  • @
    @lastkinglastking33263 years ago Duh huyu baba ni zaidi wembe nilikuwa ni mcheshi tu kumbe kuna bonge la busara kiukweli anafaa kuwa kiongozi.
  • @
    @eliyaldalaghi93913 years ago Mkuu mbona askari wako wa mali asili wamekuwa wakifanya ukatili wa hali ya juu sana wanawapiga hata wamama kwa ajili ya kuni kavu.
  • @
    @ulaweboy34793 years ago Mheshimiwa magugu bado maaskari wamegeuza boda kuwa maslai tusaidie kituo cha police magugu wamezidi.
  • @
    @sheilalolila22332 years ago Polisi jamani ukitaka kuwajua kuwa na kesi hawana utu kabisa.
  • @
    @lulugora27123 years ago Aisee muheshimwa ongea point usituchoshe upungufu unahusika nini na watu kupigwa. 1
  • @
    @emastelajacob3952 years ago Maaskari hawana akili watumia madaraka vibaya.
  • @
    @musasabuu28082 years ago Polisi fanyeni kazi kwa weledi punguzeni zuluma, tendeni haki kama mtu amefanya makosa punguzeni mtendeeni haki.
  • @
    @samwellazarus31943 years ago Kiukweli askari wa babati wanakamata sana pasipo sababu na wanapenda sana kitukidogo sanasana barabara ya kiru yani unaweza kukuta wako nane barabara moja na kila mtu yuko sehemu yake.
  • @
    @ibrahimgwasma2353 years ago Polisi n raia hawawezi kuwa marafiki jamani haahahahahahah kote duniani haijawahi tokea.
    ikitokea kwa hapa tz tutavunja rekodi ya dunia.
  • @
    @nativeinfotv96203 years ago Kawaida mtu afikishwe. Mahali husika pasipo kupigwa walana raia wanapaswa kuwa marafiki na sio maadui ili kazi iende vzr.