MAHITAJI
Pakiti 1 au kijiko 1 cha chakula hamira
Kijiko 1 cha chai sukari
Kikombe 1 maji ya uvuguvugu
Vikombe 2-1/2 unga wa ngano
Kijiko 1 cha chai chumvi
Vijiko 2 vya chakula olive oil
VIUNGO VYA JUU
250g mozarella cheese
1/2 kikombe tomato sauce ya pizza
Viungo vingine utakavyopenda (nyama, uyoga, vegetables, n.k)
Kwa maelezo zaidi tutembelee kwenye blog ya jikonajane kwenye hii link https://jikonajane.ghost.io/ghost/#/site