Duration 4:7

DKT. MPANGO AUNGANA NA WAKATOLIKI KUSHIRIKI MISA JUBILEE YA MIAKA 50 MWADHAMA CARDINALI PENGO.

94 watched
0
0
Published 21 Jun 2021

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameshiriki ibada ya misa takatifu ya jubilee ya miaka 50 ya upadre ya Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo . Makamu wa rais ameongozana na mkewe mama Mbonimpaye Mpango. Ibada hiyo pia imehudhuriwa na viongozi wengine wa serikali, majaji , spika mstaafu mama Anne Makinda, Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo pamoja na viongozi wa madhehebu mengine. Makamu wa Rais amempongeza Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo kwa utumishi wake wa miaka 50 katika upadre na kuwa daraja muhimu kati ya dini na serikali kwa wakai wote wa utumishi wake.

Category

Show more

Comments - 0