Duration 25:7

Max Rioba: Kabla ya kuanzisha WCB Diamond aliitaka label yangu ya MDB, Nisingemshauri Hamisa aimbe

15 542 watched
0
251
Published 3 Jan 2021

Sehemu ya pili ya #ChillnaSky tukiwa na Max Rioba ambapo anafunguka kuhusu label yake ya MDB na jinsi Diamond alivyokuwa anaitaka kabla ya kuanzisha WCB. Anazungumzia pia kufanya kazi na Hamisa Mobetto kama meneja wake na mengine

Category

Show more

Comments - 32