Duration 16:18

DIAMOND aitwa mfalme wa bongofleva mbele ya ALIKIBA na HARMONIZE/waitikisa Dar kwa show ya nguvu.

35 366 watched
0
825
Published 9 Oct 2020

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #ccm #diamondplatnumz #alikiba #harmonize

Category

Show more

Comments - 427
  • @
    @emmi43194 years ago Wenye serikali wamemuita king mimi nani nisimuite. 71
  • @
    @adinanmkombozi3514 years ago Ccm wenyewee wanamuita mfalmee wewe nanii ukataeee💥🦁🦁🦁🦁💥🦁🦁 17
  • @
    @LoukizZy554 years ago Mfalme wa bongo fleva diamond Platnumz Simba 🦁 22
  • @
    @estershadia20084 years ago BABA LAO KING OF BONGO FLAVER SIMBA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇿🇦 41
  • @
    @hassanchomar52244 years ago Simba baba lao ana mepezani kwenhe gemo wcb for life in Mozambique 🇲🇿🇲🇿 59
  • @
    @castorymwaipopo2904 years ago Ukimchukia mond ni kama kuzuia mvua tu 😂😂😂🦁💪 30
  • @
    @mtetezimbeki75394 years ago Tunaanza na happy birthday to middle simba alafu tunasema simba baba lao 🔥 15
  • @
    @viva-roblox52224 years ago Simba 🦁 Vampire hhh wao waki post tembo si tuna post show 49
  • @
    @davidmwango93884 years ago wanajiita ma king wakati hawana maajabu yeyote zaidi ya kubebwa na diamond 37
  • @
    @hakizimanamoussa72144 years ago Ni lazma apewe ilo jina kw kua wasani wote walikua apo akuna kw sasa ambae anamfikia ata Magufuli anajua piga fujo kw platnumz 12
  • @
    @joetz20194 years ago Kama serikali yangu imetambua na kumuita diamond king wa bongo fleva mimi ni nani nibishe😊😊😊 4
  • @
    @vampirezombi12564 years ago Baba lao Kong África
    Mozambique🔥🚀🇲🇿🇲🇿🇲🇿
    21
  • @
    @francokiuyo12574 years ago Nafkri saiv atubshan Tena mfalme wa bongo fleva kwa Sasa anajulikana ni mtu mwenye maajabu yake everyday nlikuw nachukia sana kumwita mtu king alaf yupo tyu😂😂 ... 16
  • @
    @swaibutv55904 years ago simbaaaaa dah watatoloka hao wametambulishwa mfalme mbele yao 31
  • @
    @aanesiamosi65924 years ago Mond atreee sana yaan ndo mwana music.. number 1. Tz. 🔥🔥🔥 21
  • @
    @niyovid13254 years ago Tukiwa tuna compare ma stars wa hapa bongo nawaomba tusiwe tunamweka Diamond coz hata tukiunganisha hao wengine wote hawawez kumzidi Simba babalao 39
  • @
    @Mbeyaconscious4 years ago Kwanza Happy Birthday Middle Pili Nawaambiaga Hawa Viwes Wenzangu, Wasimfananishe Diamond Plutnumz Na Utopolo Mwingine 🤣🤣🤣🤣 Huyo Ndiyo King Sasa. Achana Na Wale Ma King Wa Taarabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 92
  • @
    @mu-crzymahez92294 years ago simba anawaonea wakt level zak wakina brown na bruno mars 32
  • @
    @cirimwamiheritier21484 years ago I call him the icon of East Africa.the savior of Swahili music 7
  • @
    @yogolb28564 years ago This CCM matters most end becose Diamond is very expensive musician I can't wait this campagne to end I hate way the are mixing Diamond and those korocho 59
  • @
    @pikolaizaog73034 years ago Happy birthday middle simba more love 4rm +254 kenya🇰🇪 10
  • @
    @jonasemmanuel23934 years ago Kesi imeisha hio amejurikan muflm nn wapo 33
  • @
    @nshonabdll93634 years ago 😁😁😁😁😁Yn nimejikuta nacheka tu eti nn mondi mfalume ss Serikal inafahamu km mondi ndo mfalume mm Nani nibishe 😁😁😁kibakuli kasikia vizur hp Nani mfalume inaumagaa iyo 6
  • @
    @heriholder16254 years ago Huyu ndio mfalme bongo flava sio Mimi jamani ni maneno ya Viongoz wa CCM mbele ya Rais Magufuli. 36
  • @
    @mu-crzymahez92294 years ago nGuo za nGoma mpYa na rema hzo nan kaonaah??? 23
  • @
    @nshonabdll93634 years ago Jamaa hng shoo kbs uyu kelele tu shuka bn aingie simba hp 8
  • @
    @johngodwin82814 years ago 😂😂😂😂😂🤣🤣et na yeye anamadancer uuwiiiii😁😁😁😁🧐🧐 15
  • @
    @haisujuma23484 years ago Mm nashangaa alikibaha ufalme kapewa nani 24
  • @
    @msendabakarially34994 years ago Kiba n msanii mzur pia...ila shida yake n anajiweka mahal ambapo hayupo...thus y always wanamsema diamond kua ananunua views but the case n kuwa music wa diamond unaskika kwa ukubwa bara zima!...tuheshim hilo...kuna mtu humpend ila mafanikio yake n dhahr... ... 24
  • @
    @goldshawiz64034 years ago hataww middle Simba huhamini Kama nasibu mfalume 11
  • @
    @josephlyoto37414 years ago Wotee wamefanya poah sanaa ila middle simba upo chap sanaa big up sanaa 26
  • @
    @youcallbbh96074 years ago Lazima ako kakauli ka mfalume kamemuuma alikiba sana😂😂😂 3
  • @
    @TheDadymusic98804 years ago Happy birthday 🎉🎊🎈 to ya Middle lion. Nazani mumejionea wenye hapo bado unataendelea kubisha kuwa the lion 🦁 kwamba siyo mfalme wa bongofleva hapo kwengine ukibisha utakuwa unaumwa 🔥🔥🔥? 4
  • @
    @rmags86544 years ago Wow!! Even the vibe changes when Diamond is on stage. This guy is the best performer in Tz!!
  • @
    @josephvenus32594 years ago Hahahahaaa wataweza kweli? Simba the half man half animal 💥💥💥💪💪💪 5
  • @
    @ombeniruvubika53924 years ago Nawaza leo kila mtu amesikiya vzr kuusu Diamond platnumz
    Sasa tuache ule ubishi wakisenge wakupasuwana vichwa kila siku bure
    Naukweli kila mtu ameusikiya.
    8
  • @
    @wilsonembete20414 years ago sija mwambiya aseme yeye ndo @king mbona hapo mbele kulipita wengine hakuwahona kweli inahuma ila inabaki kua tu kweli 14
  • @
    @sitelachalamila73554 years ago Wasipo mupaheshima yaketutapata nje wabongo Simuna vijimavyaroho 9
  • @
    @jaydenkariuki65954 years ago Happy birthday middle simba nakutakia maisha marefu na mwenyezi mungu aishi kukubariki nimeishi kusema mondi atabaki kua mondi hakuna wa kubishana naye au kulinganishwa naye 1
  • @
    @ombeniruvubika53924 years ago Na Government inajuwa km huyu jamaa ndo mfalme wa mziki wa Tanzania,
    Sasa mm na ww ni nani?
    40
  • @
    @chidimabawa69454 years ago 4
  • @
    @bnmxojayusuph33024 years ago Happy birth day middle simba and ally kiba yupo nyuma hata ya harmonize kama huamini ni wasanii wawili tu ambao baada ya kutumbuiza polepole alimwambia DJ nirudishie waheshimiwa kwenye siti zao inaonekana walitoka kwa burudani ... 4
  • @
    @sharonchristian37114 years ago Wenzangu namie wanatumia nguvu kubwa kushawshi mashabiki, mwachen Simba Kama simba 5
  • @
    @jimyjastini99954 years ago Ufalume niwakupewa siwakiji ita ss simbamondi ndomufalume 💪💪🔥🔥💎💎
  • @
    @Mohaa43094 years ago Diamond platnumz No 1 kama kawa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 2
  • @
    @mariamothman74044 years ago Kazi nzur sana king kiba tumezoea burudani sio fujo za diamond hadi kicha kinauma love u king kiba
  • @
    @kassimrajabu78054 years ago Nimepata tabu ku skip mpaka kwa DIAMOND.. HAO WENGINE NAONA MIKELELE TU. 1
  • @
    @onesterabayo90674 years ago Clapping hands 20 times was discovered by Diamond. Harmonize copies every time. 21
  • @
    @mnenetv82674 years ago Kama unakubaliana na hili ebu gonga like 1
  • @
    @xtashrayvash29964 years ago Kuanzia leo ...msimfananishe simba na utopolo kama huu.... Mondi ever the best
  • @
    @yudathademfinanga89294 years ago Mondiiiiiii Hatareeeeeeee sana .Chibu Babalaoooooooooo%%%%%%%%%%%%%%%% 10
  • @
    @Louiskide4 years ago baba watahifa diamond platinumz 👑team WCB tujuwane kwa like 1
  • @
    @silaskirui38194 years ago Hanaga mshindani huyo 😅😅 King of bongo fleva indeed
  • @
    @richlymo4 years ago Apoo mziki wa Tanzania umetekwa na daimond na harmonaize aina ubishiii 6
  • @
    @ashirievara85424 years ago Wanajitaidi ila wanatia uluma sana kushindana na Simba 🦁🦁🦁 gonga Like 1
  • @
    @sportsbay58704 years ago how i wish wangekuwa wanaonyesha nyusa za hao wasani wengine kama SIMBA ana perform, ndio tuone hizo expressions 6
  • @
    @mukaplatnumz23134 years ago Mimi sidhani kama Alikiba ataweza kutumbuiza tena kwenye kampeni za ccm maana anayepewa heshima zake ni king wa bongo fleva.😜😜😜
    Alikiba yeye Anajiita mfalme lakini diamond anaitwa mfalme sasa kujiita mfalme Nawakati ahitwi mfalme si sawasawa na mtu anayeenda kuchota maji na kajungio🤣🤣🤣🤣.
    Leo ubishi kwisha simba ndo mfalme wa Bongo fleva.
    ...
    23
  • @
    @timochazze98454 years ago Mfalume anajulikana toka kitambo ni simba hata Grammy wana mjua 3