CEO wa #WCB #Wasafi Diamond Platnumz amedokeza juu ya ujio wake Mpya na album mpya hivi karibuni,#DiamondPlatnumz ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwauliza mashabiki zake wanahitaji nini hasa baina ya wimbo mpya ama Album Mpya,Diamond Platnumz amefanya hivyo ikiwa ni furaha ya video yake ya #Waah ft Koffi Olomide wa nchini Congo Kugikisha views million 60 kwenye mtandao wa Youtube ndani ya miezi minne tu
Tazama hapa #Chidmaburudani #Cmtv
Category
Show more
Comments - 7
Related videos for DIAMOND PLATNUMZ Atishia Kuachia Wimbo na Album MPYA Muda wowote: