Duration 1:6:31

MHE. RAIS SAMIA AKISHIRIKI HAFLA YA KUKABIDHI GAWIO NA MIAKA 25 YA NMB

9 watched
0
1
Published 18 Jun 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023. #KaziIendelee

Category Entertainment

Show more

Comments - 0