Duration 4:47

Mama Maria Nyerere aongoza mamia katika matembezi ya Sala

1 584 watched
0
45
Published 4 May 2019

Mamia ya waumini wa kanisa katoliki, kituo cha huduma za maombezi cha Riverside Dar Es Salaam na wengine kutoka mataifa mbalimbali duniani wamefanya matembezi ya sala kutoka Tazara hadi Riverside Ubungo Jijini Dar Es Salaam yakiongozwa na Mama Maria Nyerere. #matembezi#Mama Maria Nyerere#sala#amani

Category

Show more

Comments - 0