Duration 17:33

MadeinTanzania Umuhimu wa Kilimo katika kukuza Viwanda

425 watched
0
11
Published 26 Feb 2021

Zaidi ya Asilimia 70% ya bidhaa za Kitanzania zinategemea kilimo. Katika ukuaji wa viwanda, sehemu za kilimo ni msingi mkubwa kutokana na uzalishaji wa malighafi nyingi. Tazama kipindi hiki kufahamu umuhimu mkubwa wa kilimo katika kukuza viwanda.

Category

Show more

Comments - 1