Duration 1:47

MOTO KARIAKOO: ALICHOKIKUTA RC MAKALLA BAADA YA KUTINGA ENEO LA TUKIO, VIPI KUHUSU CHANZO

7 214 watched
0
28
Published 11 Jul 2021

Kutoka hapa Kariakoo, Dar es salaam muda huu, Soko Kuu la Kariakoo linateketea kwa moto, bado chanzo hakijajulikana na tayari Vikosi vya Zimamaoto na Uokoaji pamoja na Vyombo vingine vya usalama vinaendelea na shughuli za kuzima moto huu.

Category

Show more

Comments - 10