Duration 5:13

“MILLARD AYO ALICHANGANYIKIWA MSHAHARA CLOUDS” GONDWE

13 145 watched
0
62
Published 6 Aug 2021

NI Agosti 6, 2021 ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group Joseph Kusaga aliwaalika watu mbalimbali wakiwemo viongozi na wasanii kushuhudia mchongo wa ‘Big Joe’ utakaosaidia Vijana 55 ili wakajiendeleze katika Biashara zao. Miongoni mwa viongozi waliofika katika hafla hiyo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe na hapa anaturudisha enzi hizo kuhusu Mtangazaji Millardayo alipoambiwa mshahara ataolipwa Clouds FM endapo atakuwa mwajiriwa katika kituo hicho.

Category

Show more

Comments - 17