Duration 18:36

Lulu: Mimba / Sitaki TENA / Hamisa Mobeto / Nam-BLOCK / Utoto

540 570 watched
0
2.8 K
Published 4 Feb 2019

EXCLUSIVE INTERVIEW na #Lulu kwenye #ThePlaylist na #LilOmmy ameongea mengi kuhusu MAISHA yake ya GEREZANI, Maisha yake ya Sasa, Mimba ya Majay, Kumchukulia Mwanaume Hamisa Mobeto, Kilichobadilika katika maisha yake, Pete ya uchumba na Ndoa! Pamoja na kampeni yake ya #SaveMyValentine kusaidia watoto wenye uhitaji. Fatilia mahojiano ya moto na mastaa unaowakubali kujua kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yao, #LilOmmy #THEMVP #KingOfInterviews anakukutanisha nao hapa hapa kwenye #LilOmmyTV Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy https://mobile.facebook.com/lilommyfanpage https://lilommy.com/ Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter..... enjoy!

Category

Show more

Comments - 343