Duration 4:15

Tazama Maandalizi ya Kuusafirisha mwili wa MAMA yake LULU DIVA kuelekea TANGA

43 968 watched
0
385
Published 20 Dec 2021

#luludiva

Category

Show more

Comments - 44
  • @
    @josphinedarani62033 years ago Masikini lulu mwenyezi mungu akufariji na mwenyezi mungu ailaze roho ya mama mahala pema peponi. 9
  • @
    @janemapoz63603 years ago Pole lulu umewajua watu wako waonaokujali big up mwijaku, mama wema, wema ns fidw. 2
  • @
    @halimandinde58813 years ago Innalilah wainailah rajiun poleni sana mungu yupo pamoja nanyi. 7
  • @
    @saumusalimuhassan24993 years ago Innalilah wainailah rajiun, poleni sana wafiwa, pole sana lulu. 9
  • @
    @anjelinakasembe8453 years ago Mungu hasafirishe kwaamani na mama yetu akapumzishwe kwa amani mahali pema peponi jikaze sana lulu. 4
  • @
    @fatmasaid70933 years ago Innalillah wainalah rajiun allah ampe kauli thabiti nasi tulo baki allah atujalie mwisho mwema ameen. 5
  • @
    @fredrickmatiku77833 years ago Pole sana lulu diva kwa msiba wa mama yake mpendwa mungu ampe nguvu na uvumiilvu wakati huu wake mgumu roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi amina. 1
  • @
    @jamilahrashed26423 years ago Innalillah wainnalillahi rajiun mbele yake nyuma yetu. 8
  • @
    @aminaabdallah36443 years ago Innal lillah waina illah rajiun mungu awape subira ameen. 5
  • @
    @hejopantumsifusimon213 years ago Mmevaa kwaheshima ad rah mung awatangulie pole lulu. 1
  • @
    @jorgettemwajuma54283 years ago Pole sana mfiwa kazi ya mungu haina makosa. 1
  • @
    @sheriibrahim67533 years ago Inallilah wainaillah rajiun. Pole sana mtanga mwenzangu kuondokewa na mama ako. 1
  • @
    @mwanahamis54873 years ago Innalilah wainailahi rajiuun poleeni saan lulu. 1
  • @
    @jumaathman52523 years ago Inna lillahi waina ilehi rajiun
    hakika sisi ni wa allah na kwake yeye tutarejea
    pole sana dada yangu diva allah akupe subra wakati huu tuko pamoja dada yangu allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira
    nakupenda sana dadangu diva
    .
    ...Expand
    4
  • @
    @maryndullu12883 years ago Namuona mama wema, wema mwenyewe dadaake wema nuru sepetu jaman msiba wameubeba kama wao. 1
  • @
    @muzafarsharif94653 years ago Wameenda kuuza sura tu wakijua media ztakuwa hapo. 2
  • @
    @peteryukunda92393 years ago Wema nilivyomuonaga muda mrefu hadi sasa ana roho ya huruma mno, anajuauchungu wa mtu km wakesn mpendwa.
  • @
    @nasramohamed33533 years ago Innalillahi wainna ilaihi rajighuun yarabby tujaalie mwisho mwema hakika mauti yanauma sana.
  • @
    @roudhamahmoud7633 years ago Mnapokuwa misibani mwa watu heshimuni sio mnafanya sehem za kucheka ovyo na kukumbatiana. 2
  • @
    @dottohamisi98443 years ago Kuna watu wanacheka kama hawapo msibani. 3
  • @
    @fainajaffary40703 years ago Watu minywele waz kama wanaenda harusini yan misiba ya sasa hivi watu hawana khofu ya mungu kabisa.
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Utadhani harusi mnakenyua nini sasawengine mna mapengo kama steve hapo.
  • @
    @aickatesha58293 years ago Yani wabongo mnatia aibu mnakua kama mnaomba matatizo ya wnzenu ili mkauze sura. 1
  • @
    @Bayothomusic3 years ago Ukiwa katika shida angalia hii
  • 3 years ago diamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music

    >
    ..
  • @
    @jumaathman52523 years ago Inna lillahi waina ilehi rajiun
    hakika sisi ni wa allah na kwake yeye tutarejea
    pole sana dada yangu diva allah akupe subra wakati huu tuko pamoja dada yangu allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira
    nakupenda sana dadangu diva
    .
    ...Expand
    4
  • 3 years ago diamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music

    >
    ..