Duration 16:31

NOMA Mashindano ya Magari Bagamoyo 2017

311 078 watched
0
670
Published 21 May 2017

Ni vitu ambavyo mara nyingi hatuvioni kwenye TV zetu na ndio maana AyoTV imekuletea mwenyewe ujionee mashindano ya magari yaliyofanyika Bagamoyo Pwani May 20 2017 ambapo fainali ni May 21 2017 na AyoTV itakuonyesha kwa upana zaidi.

Category

Show more

Comments - 75
  • @
    @Binmasterdaniel7 years ago Millard hakuna kitu ninachokipenda maishani mwangu kama Rally yaani umenikonga moyo kabisaa thanks so much bro keep it up kutuonesha mambo kama haya kwa sisi ambao hatupati au tuna sahau muda ambao mashindani haya yanafanyika lakini tunapenda kuangalia. ...
  • @
    @jimmiedebody85677 years ago Mashindano ya magari nika michezo mingine ningependekeza yapelekwe maombi kwa serekari wapate kutafuta sehemu kubwa wapate kujenga uwanja mzuri kabisa wamashindano ya magari ambayo yawe yana fanyika kwa mwaka hata mala mbili ...
  • @
    @lilianwilliam51537 years ago aisee mtu wetu wa nguvu mimi kila nikiangalia naogopa lakini nawashangaa hao washangiliaji hta wasiwasi hawana kabisa halafu wako karibu nanjia ya gari 2
  • @
    @irenebernard13317 years ago katka vitu ambavyo xpendi ni kukaa barabarani wakati wa car race wallah hayana utabiri hayo mara lageuka chepe lakuzoa kuleeee akhaaaaa michezoiyo aaah kiti hapendi!😅😅 6
  • @
    @sullepeter47227 years ago millard ayo asante kwakutupenyezea na hii
    tumeupata uhondo wa bagamoyo
    big up sana kwa kaz nzur unayoifanya
  • @
    @kyaa0067 years ago Nadhani baada ya soka huu ni mchezo mwingine wenye mashabiki wengi Tz sema haujapewa nafasi inayo sahili.......katika kupanua wigo wa ajira nchini ni bora serikali,makampuni na wadau wakawekeza humu 1
  • @
    @mariammarco15547 years ago Duuh! mnamoyo aiseee, Mimi siwezi kabisa. ..
  • @
    @dadiamoshi10857 years ago duh ni nomaaaa sanaaa ila ni hatariiii naogopa sanaa
  • @
    @athumanimashango32047 years ago kazi kweli napenda sana mbio za magari na kesho tena
  • @
    @shaibungoda96477 years ago tunapenda kushuhudia hizo game zenu ila hamtupi ratiba mnapeana kimya mnatunyima raha bhanaa 2
  • @
    @Niajekiaje7 years ago leo sasa ndo nimepata sababu ya kusubscribe Ayo tv,big up guys,na leo plz mjitahidi mtuletee sections nyingi zaid 1
  • @
    @ARFIddy7 years ago Mmmhhh watu wacheza NA roho wakajuwa zapatikana dukani 😡😎🙌 1
  • @
    @sautiyahamasaonlinetv61397 years ago Duuuuh hatari sana mazingira ya michezo sio salama kabisa
  • @
    @judydebawsepaul9057 years ago napenda sn mashindano hy lkn kuna mda naona km wanapinduka 2
  • @
    @jackobjohn42167 years ago iko vizuri ila ingependeza kuichukulia kwa camera ya kupaa ili tuzione nyingi kwa pamoja
  • @
    @kyaa0067 years ago wapi baba D na tosk Hans wa warusha walikuwa juu sana miaka ya 90 arusha......wakiina Lukumay........wako wapi
  • @
    @judydebawsepaul9057 years ago na kwel changamoto kubwa sn n ubovu wa barabara na hz mvua znazonyesha nd majanga kbs.... ila tunawatakia mashindano mema 1
  • @
    @barakakasaganya44907 years ago Kumbe hata na sisi watanzania tunaweza, ila tatizo linakuja kwenye sekta ya miundo mbinu especially barabara na magari yenyewe Kwa maana wanayotumia hayo yameisha engine zake, ynàvyo unguruma sasa! Nishida
  • @
    @rhodaadepc24427 years ago jamaniiiii!! RAIA ameshika usukani??? am rimoti duuuui
  • @
    @marcocosmas42666 years ago Napenda sana kuendesha sana gari hasa gari madogo lkn siyo mashindano kama haya labda kutizama tu ndio napenda sababu huu mchezo cyo wa kitoto watu wanakimbiza gari hawana roho 😆😆😆👏👏👏
  • @
    @zedekiannyagawa35217 years ago wabongo ujinga utaisha lini.? hao wanasogea barabarani hawajui wanahatarisha maisha yao.
  • @
    @samueljoseph65427 years ago Usalama kwanza hao wanaoenda barabarani kabisa wangekatazwa na wahusika 1
  • @
    @shabansaid38157 years ago mmmmmm!!! hii nouma sana ila raha bhana
  • @
    @qadirisonyo28307 years ago chama cha mbio za magari mbona ratiba zenu hazipo wazi? mnatukosesha uhondo,toeni ratiba mapema 7
  • @
    @kibikisalome3797 years ago chezea.pesa usichezee uhai, hauna soko,.kwamba utaupata sokoni
  • @
    @mercymammymammy61227 years ago yani iyo ni roundabout ?ai iyo Kali nawatch niko Jordan.
  • @
    @hassanihussein44797 years ago hhhhhh mbon nyiee mumejificha porini au mwaogp kuvamiwa nini wapi MUHAMMAD MKWAWA.TIOT.PANORI.OMAR BAKHRESA BAKHOZA hawo ndiowo wakongwe Wa mbio za magari 1