Duration 4:41

SUPRISE MSANII MKUBWA wa MAREKANI KUPAFOMU Leo Kwenye SERENGETI FESTIVAL, Dkt ABBAS Azungumza

2 752 watched
0
13
Published 26 Dec 2020

SUPRISE! MSANII MKUBWA wa MAREKANI KUPAFOMU Leo Kwenye SERENGETI FESTIVAL, Dkt ABBAS Azungumza... KATIBU Mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Dkt Hassan Abbas, amesema katika tamasha la Serengeti Fetsival linalofanyika leo Desemba 26, katika uwanja wa Uhuru jijini Dar, hakuna msanii hata mmoja atakayepafomu bure kwani serikali imewalipa wasanii wote zaidi 60 watakaofanya shoo kwenye tamasha hilo. Aidha amesema kuwa kuwa suprise kubwa kutoka kwa msanii mkubwa wa Marekani ambaye atapafomu kwenye tamasha hilo leo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 4