Duration 13:36

TUMEPATA MATUKIO MAWILI OFISINI KWETU KUHUSU WADADA

1 885 watched
0
25
Published 26 Aug 2021

Tukio la kwanza ni la Mauaji ya dada wa kazi, tulipewa taarifa kwamba inadaiwa kuna dada wa kazi ameuliwa, tunafuatilia tutaleta taarifa za hilo tukio punde Tukio la pili ni lile la Mama ambae alikuja kuomba kazi akafanya kwa siku 8 boss hakuridhika nae sasa mama anadai alipwe mwaka mzima kwa sababu boss kakatisha mkataba.

Category

Show more

Comments - 12