Duration 2:44

TASWIRA KIMATAIFA : Watu 10 waaga dunia kufuatia shambulizi la kujitoa mhanga nchini Somalia

162 watched
0
2
Published 16 Jun 2021

Shambulio La Kujitoa Mhanga Nchini Somalia Limesababisha Mauaji Ya Watu Kumi Huku Wengine Zaidi Ya Ishirini Wakijeruhiwa Katika Mji Mkuu Wa Nchi Hiyo Mogadishu Jumanne (Juni 15). Shambulio Hilo Bado Halijadaiwa Na Kundi Lolote, Lakini Wapiganaji Wakiislam Wa Alshabab Wanashukiwa. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #Somalia #AungSanSuuKyi

Category

Show more

Comments - 0