Duration 28:41

ZIJUE TABIA MBILI HATARI KATIKA NDOA——-MCH.DANIEL MGOGO

1 294 759 watched
0
5.4 K
Published 21 Feb 2021

Ni usiku wa kukarabati ndoa-Mch.Daniel Mgogo.

Category

Show more

Comments - 570
  • @
    @AffectionateFlowers-wy8hclast month Jamani mchumgaji Mungu akupe maisha marefuu baba nakupenda sana kwa mafundisho yako baba. Familia yako inapaswa ijivunie kuhusu wewe sana .Mungu akupe maisha marefu baba 2
  • @
    @georgegervas42623 years ago Mchungaji uchongewe sanamu makumbusho na upewe ulinzi 😂😂😂😂🤣🤣 am blessed much 21
  • @
    @zulfasaeed74453 years ago Wallah wewe baba nakuelewa sana yan mm muislam lakin napenda sana kukufatilia mafunzo yako mungu azidi kukupa afya njema 🙏 60
  • @
    @smartmwakipesile3842last month 😂😂😂😂😂😂 wakina mama ni marufuku kuiguakagua zawadi ya mwanaume zaidi ya yote pokea na kushukuru 2
  • @
    @ananiabyarugaba15812 years ago Mchungaji Mugogo unahubiri Injili ya kweli inagusa maisha ya jamii. Bravo. 6
  • @
    @rosepeter89963 years ago 😂😂😂😂😂😂mimi mchungaji hua unanifanya nicheke mpaka kuisha😂😂kisha naishia kukupa like.coz umeguza ndipo......barikiwa sana.🙏 2
  • @
    @selestinmdugu84832 years ago Mungu akubariki kwa ushilikisho mtumishi hakika maneno yako yanapenya nyoyo 5
  • @
    @bisimwaerictv2 years ago Urumubyeyimwiza cyane turagukunda cyane 2
  • @
    @user-ri6bp7pg1done week ago Maisha mrefu mchungaji I wish ututembelee kenya❤❤❤❤
  • @
    @engineertyson9183 years ago Mchungaji Daniel mgogo Hoya mafunzo mazuri Sana,waliopinga ndo walalamikaji tena Sana. 5
  • @
    @petronilaanyango60693 years ago Kila wakati huwa najikuta narudia rudia injili hii be blessed Man of God 8
  • @
    @jaliaotien.o69953 years ago Mungu akupe nguvu daima mchunguji danieli mgogo 4
  • @
    @balakamwalongo47333 years ago Mungu akubaliki mgogo unatupa dozi ya kweli sana 4
  • @
    @rafaellnacioadamo63893 years ago Napenda sana mahubiri ya mchungaji Mgogo. Niko mozambique. Wenzetu mmebarikiwa kuwa na mchungaji kama Mgogo. 18
  • @
    @lucasjoel42123 years ago Nimejifunza jambo kubwa sana mchungaji nimepata jambo la kuweka kwenye ufahamu asante kwa ujumbe mzuli 6
  • @
    @stephanomaliatabu40943 years ago BWANA Asifiwe nimebarikiwa Sana Mtumishi nilikosa Mahubiri kwa Mda Mlefu tangu Mwakajana.Mwenge balikiwa. 2
  • @
    @khalfankipande54163 years ago Nakukubali xana ingawa mm muislam napenda tropiki zako 3
  • @
    @winifridakibona11833 years ago Nabaliliwa mnono Mungu akupe maisha malefu 3
  • @
    @irenemhoya71203 years ago Nakupend San mtumish wang mng akupe maisha malef tunao mpend mtumish jaman tujuane 3
  • @
    @zakyahya46453 years ago Baba mchungaji ubarikiwe sana wanawake tupo makin 4
  • @
    @NaomyJohn-hd4bq11 months ago Kweliiiiiiiiii babaaaaa sema,babaaaaaaaaa ubarikiweeeee,unatuvumbua macho 1
  • @
    @collinskisasati-lz5lplast year God bless you daddy nahisi siku moja niwe live katika ibaada yako wewe unanibariki sana 1
  • @
    @venancikamonyore49243 years ago Nimejifunza kitu kwako much. Nimegundua sisi wanaume ndiyo dhaifu lakini wanawake they're very strong. Ndiyo maana Adamu alimkubalia Hawa na hakukumbuka tena habari za Bwana God. Ila wanahuruma ndiyo maana tunaishi nao. 4
  • @
    @IrakozeEv3 years ago 😂😂😂😂😂😂😂ni hatali Kabisa yani wewe mutumishi wamungu umeja roho mtakatifu amen 🙏 mungu akubaliki! from American 🇺🇸 4
  • @
    @shunaside89563 years ago Jamani hiz tabia mm nnaz mpk najishangaaa duuh ...naomb mungu aniondoshee ...amin 7
  • @
    @macfatheboy89482 years ago Mungu akubariki Sana mtumishi kwa kazi kubwa Mungu aliyokupa 3
  • @
    @wasilajonas83953 years ago Mchungaji uko vizuri sana mungu akusadie 3
  • @
    @vincentauxerbius75543 years ago Mzee wewe ni genius unatisha mafunzo yako yajenga 2
  • @
    @user-ix5uo6ks7jlast month Exactly mungu azidi kukuongoza pastor sababu anaongea ukweli
  • @
    @prosperboaz2073 years ago mi nilikumbana naye,mwisho wa siku niliamua kukimbia 4
  • @
    @leonardemmanuel92493 years ago Ukiondoa umchungaji ,huyu jamaa ni comedian 😀😀😀😀😀 1
  • @
    @rachelthomas18662 years ago Ni kweli kabisa mchungaji!!shetani amekimbilia sana kwenye ndoa!!ndoa nyingi tunavilio 1
  • @
    @klpusame73883 years ago Ameen hakika Baba ni heri kigunduliwe kifaa cha moyo meter au kengele kwa mwanandoa ambaye ni musaliti. tena mimi nakutia moyo endelea kukazia haya mafundisho maana ndiyo yanalenga familia nakwambia Taji yako ipo mara mia duniani na bado Mbinguni heeee Mungu atusaidie wanandoa. ... 14
  • @
    @gracemima52343 years ago Ni vizuri mala ya kwanza kusikia muhubiri kuwa Sofi wanawake. Asante muchungaji. 5
  • @
    @user-vo3qb6uh3ylast year Mchungaji mungu akuweke milele mda mwingi natumia kipindi chako huwa unanigusa sana mi ni mwislam
  • @
    @nivesmapunda6943 years ago Mchungaji uko vizuri.
    Mungu akubariki sana!
    7
  • @
    @jackilinemwanja65963 years ago Hahahhahahaa aminaaaa mchungaji wanguuu,daniel mgogo,unajua kunifurahishaa sana katk mahubiriii yako 7
  • @
    @petersugilo16453 years ago Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako yenye baraka nyingi. 8
  • @
    @remmymsakusy18753 years ago Mafundisho ya mazingira ya jamii ni ya yesu mwenyewe kwani HAYACHOSHI - Bigup mch Mgogo. 10
  • @
    @user-fx1kj1jv2o6 months ago Mungu akubariki pastor Daniel Mgogo. Mungu akuongeze hekima na maisha marefu
  • @
    @hamenimanahaliye88152 years ago Mafundisho yenye maana sana ndoa na familia safi sana mchungaji Daniel mgogo 1
  • @
    @rosemarysulle92883 years ago Nampenda sana huyu mtumishi wa Mungu,ubarikiwe mno pastor. 7
  • @
    @mildredwekesa33573 years ago Mlalamikaji, Mungu n saidie hiyo doz angu kweli.asante mchungaji kwa huo ujumbe 10
  • @
    @jadianasniper37492 years ago Nakupenda sana mutumishi wa mungu mafundisho yako mazuli tupone kwahilo Mungu akupe maisha mazuli. Na malefu zaidiii 2
  • @
    @zenoLasway6 days ago Mtumishi waume zetu wamemalizwa na pombe viroba hahahaha😂😂😂apenzi hawawezi tenaaaa😅
  • @
    @LadyLorry3 years ago Machine detector is too much 😃😃 watching from 🇺🇸 My God bless you. 4
  • @
    @EphraimEphraim-bj2yjlast year Mungu azidi kukulinda muchungaji uzidi kutufundisha ubalikiwe Sana maisha malefu kwako
  • @
    @johngaramtoni9243 years ago Daaah pastor nakukubali sana mungu akubariki sana mafundisho yako yananibariki san 2
  • @
    @tabiasaidi2931last month Somo zuri mno mchungaji nimelipenda sana linalibaliki sana leo mm
  • @
    @alisenipeter43073 years ago Afadhali kidogo mgogo amerisi nafasi ya miti mingi 1
  • @
    @mildredluutsah18003 years ago Yangu nianze kukusikiza,maisha yangu yamebadilika,ubarikiwe mchungaji 2
  • @
    @olgacaleb68223 years ago 😂😂😂😂😂mtumishi umetugusa baba mungu akutie nguvu 4
  • @
    @lemomomiseyeki70473 years ago Kwa kweli mtumishi hapo umemaliza kila kitu kama ni mtihani umetunga na majibu umetoa ubarikiwe 1
  • @
    @cecilianyamai87712 years ago Mungu ambariki neno lake naendelea kusoma SoMo nzuri ya kunijenga katika maisha
  • @
    @saidbarawa90963 months ago Iam amuslim,but I don't tire listening to pastor mgogo summons
  • @
    @jescazablon71623 years ago Jmn hyu mlalamikaj ni mim huuu inabid nijaribu kubadilika kwel mme wangu ana kaz leo nimegundua anavumilia meng 2
  • @
    @mukeragabilodiana93913 years ago Wewe mchungaji unahakili zilizotoka mbinguni. Kweli 9
  • @
    @MbarukuTwaha-mb8nllast year We pastor ujengewe sanamu yaaani hata ninastress naangalia mkutano wako nafarijoka
  • @
    @violetkarambu20706 months ago Nakupenda sana paster mungu akubaliki, nakufuatilia sana nikiwa meru
  • @
    @winumirenadia80543 years ago Mtumishi barikiwa Sana nakufata Sana🇧🇮,asante barikiwa sana 2
  • @
    @judicaelkikuzwe11883 years ago Kweli kwa sababu Ndiyo walio kutana na shetani sisi atukuwayi kumufahamu shetani wala kakutana naye lakini usmati wao ulitokana naurafikiwao na ibilisi 5
  • @
    @xkingx80413 years ago Preach!! Preach!! Preach!!! Wanawake tunauwezo ...barikiwa babaangu. 💪💪💪💪💪💪 5
  • @
    @mkudesimba94463 years ago unatubariki na tunajifunza mambo mengi sanaa 6
  • @
    @mamapeace30923 years ago Yani wamama waliumbwa na maneno mengi kuliko wanaume..we are the shield 6
  • @
    @ndugaijacob359last year Asante sana mchungaji Mgogo upo sahihi na.vizuri. Mungu akubariki
  • @
    @teresiahkiarie26263 years ago Mafunzo ya huyu pastor is in another level I like his teaching iam from Kenya you have been a blessing to me 23
  • @
    @glodynkondo98002 years ago mungu akubariki sana kwa message zuri mimi wivu kwangu niatari sana iyo ni point 1
  • @
    @user-kk9zw5lc1glast month Safi mchungaji😂😂😂😂hapo kwa kipimo cha watu wa kuchipuka❤❤😂😂❤❤❤❤
  • @
    @rosewiwowanjala94982 years ago Barikiwa saana pastor uchumbe huu umenifunza saaana
  • @
    @bostonnyatu32693 years ago Mch.Daniel nimekuelewa nimepitiliza Mungu akutunze 1
  • @
    @jumanneally68568 months ago Jamani mtumishi Mungu akuweke miaka mingi
  • @
    @vincentlihendeko19063 months ago huyu sio mhubiri, hajawahi kutumia neno la Mungu hata siku moja. anasema maisha aliyozoea. michepuko na ukristo wapi na wapi
  • @
    @tundaisabelle32183 years ago Tunakupenda saaaaaaaana baba muchungaji uku Canada 🇨🇦 6
  • @
    @anthonymwambwalulu82343 years ago Semina zako mtumishi nafarijika Sana ubarikiwe 5
  • @
    @luciamaganga18729 months ago Ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazurii,Mungu akujalie maisha marefu, Amina
  • @
    @cecymwasija806111 months ago Nakupenda ❤️ xan past Yan maubili yak mazuli xan 🔥🔥🔥🔥
  • @
    @jumakasomelo39012 years ago Ubarikiwe Sana mchungaji.
    Kuanzia leo natoka kundi la wivu wa kijinga.
    2
  • @
    @OmanOman-gp7xm3 years ago wapo mchungaji hongera kwakuongea nina dadaangu anakilema icho jmn ila siwezi mchoka nampenda sana ila dugu wote wamemchoka nimecheka sana 6
  • @
    @ChebetSelly-bh1stlast month I love his preaching it's toooooo educative I don't know when u will visit uganda
  • @
    @paulinekamau76183 years ago Mchungaji anatambua uepo wa wanawake Duniani. Wanawake hoieee......genius n channnels kwa SANA!!!Barikiwa!!! 10
  • @
    @frankyohana2083 years ago Kweli bana kuna majitu mengine yana lalamika mnoo mpaka yanakera 3
  • @
    @jacksonmkude93013 years ago Mtumishi huduma yako nzuri sana mungu akubaliki sana 1
  • @
    @subirasanga52762 years ago Hahahahaaaa nmecheka ile mbay. Hee ubarikiwe Mtumish. Tupone
  • @
    @jescajulius80233 years ago Walalamikaji wenzangu hoyeeeee!!!,hahaha. 3
  • @
    @athanaskipeto572last year Mchungaji uko sawa kabisa kwenye meseji hapo