Duration 9:42

TAMMY amchana HARMONIZE, ‘Hata DIAMOND aliyekuvumbua hasikiki NIGERIA Sio kweli, haupo serious’

49 472 watched
0
1.2 K
Published 10 May 2021

Sky anazungumza na rapper Tammy The Baddest kuhusiana na kauli ya Harmonize kuwa muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla hauchezi kwenye redio na club za Nigeria zaidi ya nyimbo zake

Category

Show more

Comments - 434