Duration 3:10:30

Uzinduzi wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi

44 watched
0
0
Published 14 Sep 2021

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafanya Sensa ya Watu na Makazi Mwezi Agosti Mwaka 2022. Maandalizi ya Sensa hiyo yanafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu SURA 351. Uzinduzi huu ulifanyika tarehe 14 Septemba 2021 katika Viwanja vya Jamuhuri Dodoma. Matangazo ya uzinduzi huo yalirushwa moja kwa moja kupitia Televisheni ya Taifa- TBC, Efm radio, pamoja na mitandao mbalimbali ya Kijamii kuanzia saa mbili na nusu asubuhi.

Category

Show more

Comments - 0