Duration 17:8

Highlights: Simba walivyoinyuka 2-0 Namungo FC na kutwaa Ngao ya Jamii Arusha

285 051 watched
0
968
Published 30 Aug 2020

Bernard Morrison na John Bocco ndiyo waliopeleka msiba Namungo FC na kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0, katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Tazama highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 138
  • @
    @ebenezertakyimorrison80614 years ago Bernard morrison, you are really a great player, keep the fire burning in simba fc too as you did at yanga, the entire family is behind you in prayers and surely you will succeed there too in jesus name, amen. 3
  • @
    @jescakiwelu36044 years ago We are strong and we are another level big up my club may this victory continue forever love you simba andto all players simba nguvu moja we getting bigger everyday and we have moved, i say we have moved. ...Expand 2
  • @
    @barakagirbert68514 years ago Naipenda simba jaman sitaki usenge yan na simba yangu. 6
  • @
    @fredmabundagilo69544 years ago Hongera sana simba, ndo tunaanza kuchukua vikombe vyetu. 3
  • @
    @emanuelmtinangi90944 years ago Eeh! Bwana eeh! Chamaa ni wakuotea mbalii, bwalya, mzamiruu hatari sanaa. 3
  • @
    @lazaromasimami90944 years ago Yaan morrison + chama hii combination itawakera sana mwaka huu. 6
  • @
    @prophetmunuo93174 years ago Kombe la kwanza hilooo tumeanza hivyo. 6
  • @
    @allyhuyu18924 years ago Simba ni dude moja kubwa sana limeshachomoka lilipo sasa kulizuia kazi ipo yani hakuna wa kulizuia, morison anawakera watu sijui itakuwaje. 5
  • @
    @pendomfinanga2834 years ago Morson hiki kichwa ni shida akija na konde boy basi shughuli imeisha. 7
  • @
    @charlesnurumwasha78344 years ago Baada ya kuangalia hii clip nimekubaliaana na mchambuzi mmoja wa wasafi fc aliyesema namungosimba. Ukiaangalia goli la morisoni kumuachia morison nafasi ya kukaa huru uwanjani atakuliza mara moja. ...Expand 4
  • @
    @ibrahimkadibo8104 years ago Tunashinda tunachukua kombe, wanashinda kwa kubebwa wakati ni friend mach. 8
  • @
    @nurdinshekivuli4684 years ago Shida sioand touch ya chama ndio shida. 4
  • @
    @stn48734 years ago Huyu morrison mkifanya utani atakua anasababisha penati mnoo msimu ujao, timi zenye mabeki vichaa watajuta. 6
  • @
    @mahmoudhamisi6734 years ago Hawa simba kama bayern munchen ni moto 18 october utopolo fc wajiandae. 2
  • @
    @bensonashery23604 years ago Walisema morison wann wakati anakiburi leo anapigwa sub na anashangilia kwa moyo wote utopolo bhna mtapata tabu sana ninyi. 5
  • @
    @shikuassi48764 years ago Tuisila kidoogoo kwa mbaali anaweza kumfikia bm 3 ndo maana walia lia vyura. 2
  • @
    @mohamedrajabu53164 years ago Magoli ya penati au goli la penati na penati yenyewe ni halali beki kacheza miguu ulitaka tukufanye kwa style gani kwa mfano. 2
  • @
    @ayoubsuleiman36754 years ago Hahahaa kwa simba hii hahahaa jmn had inakeraa yn raha san onyango nimwamba yn hahahaa nawanabahati uwanja nimdogo hahahaa. 2
  • @
    @edwardmbonika84334 years ago Jamanii mm mtazamo wangu bocco amechoka anakosa magoli mengi. 2
  • @
    @franciscynthia65064 years ago Naomba mnielze mbna naskia yangamorison! Je ni kweli katambulishwa.
  • @
    @jescakiwelu36044 years ago We are strong and we are another level big up my club may this victory continue forever love you simba andto all players simba nguvu moja we getting bigger everyday and we have moved, i say we have moved. ...Expand 2
  • @
    @charlesnurumwasha78344 years ago Baada ya kuangalia hii clip nimekubaliaana na mchambuzi mmoja wa wasafi fc aliyesema namungosimba. Ukiaangalia goli la morisoni kumuachia morison nafasi ya kukaa huru uwanjani atakuliza mara moja. ...Expand 4