Duration 8:38

Amphibia ni raisi wa nchi gani voxpop S04e05

117 936 watched
0
1.4 K
Published 11 Dec 2018

Join this channel to get access to perks: /channel/UCQntQMxSvcZYoJqEs5QEXjQ/join Enjoy this compilation of Tanzanian comedy videos, funny Tanzanian memes, skits, and much more brought to you by Bambalive your first choice for Tanzania comedy online. “BAMBA” is a Swahili word meaning “caught”. We expect people to have simple knowledge at the tip of their fingers hence at any place any the time our cameras get hold of you GET READY. Follow our social media accounts: Twitter ► https://twitter.com/bambalive1 Facebook ► https://www.facebook.com/Bambalive-185353615520969/ Instagram ► https://www.instagram.com/bambalive/ Tumblr ► https://www.tumblr.com/blog/bambalivecomedy EMAIL ► bambaliveads@gmail.com Don’t forget to subscribe, download, and share this video with your friends. #bambalive #comedy #voxpop

Category

Show more

Comments - 559
  • @
    @bobbyswagger41596 years ago Kwa tcha apo bro umezingua. Umetengeneza scene kuonekana hajui. Jamaa alikuwa anadoubt kabsa bt umemlimit saana kumuuliza af ukampa choice izo tatu na . ...Expand 4
  • @
    @karimuissaamani69696 years ago Jaman sjawahi pata like hata siku moja au ninagundu, basi weka like apo dahh! 24
  • @
    @onesmolwambano93496 years ago Wangapi wamemuona mwalimu humu wa secondary. 13
  • @
    @raymondelihuruma71216 years ago Laif linachanganya maisha kinoma mpaka mwalim. 8
  • @
    @hajrarkuziwa7305 years ago Mwal mse* kweli huyu ili fagio la muhushimiwa halijampata bado amebaki kazini mwalim hujui amphibia hujui mkuu wake wa kazi akiona hii video wallah kazi hana. 6
  • @
    @lolanimals72065 years ago Hawa watu mbona wote kama dishi limeyumba, au nyie mnawaonaje jamani? 6
  • @
    @charzmbilinyi82355 years ago Huyo mwalimu nae chenga kweli broo ungempiga na kofi kabisa. 5
  • @
    @charliesim95656 years ago Huyo ticha wangu hajui, lolote hata class, ni maneno tupu. 1
  • @
    @isayabalthazarymsacky77835 years ago Siku moja uje bunju " a" shule. 2
  • @
    @josephatipanda24516 years ago Apana haya n maswali yanayomfanya mtu afikirie watu mmezoea maswali ya direct bila kushughulisha ubongo wako, we kwel umesoma japo hata mt kaishia shule . ...Expand
  • @
    @mansooralmahruqi8856 years ago Haya sasa ni majanga makubwa kwa taifa, watu elimu duni lakini kila mtu wakanza kijihusisha na siasa na kuwahi kutoa maoni
    tupigane ma jana la ujinga ndio maana tunatawaliwa kimbumbumbu.
    1
  • @
    @ibrahimiddy83855 years ago Jamani huyo mwalimu hata kama yeye amesoma masomo ya arts lakani amphibian na reptilian darasa la sita hivo vinapatikana hata kama hujaenda secondary. 1
  • @
    @rasvegas89915 years ago Huyo mwalimu mbuzi hkna haja ya mshahaara kuongezaa.
  • @
    @mtonitv5 years ago Usiache ku subscribe channel yetu ya mtoni tv. Uone mengi yanayojiri mto wa mbu. Na kote ulimwenguni. 2
  • @
    @arnoldalphonce68856 years ago Next time weka maswali ili mtu aweze fikilia mwenyew mfano. Unaelewa nini kuhusu neno amphibia? 1
  • @
    @charlesmwanyika19505 years ago Mtaani kwetu magomeni makuti mtaa wa somanga.
  • @
    @richardkwayson72026 years ago Ivi yule mwalimu mwenye upara anafundisha shule ya wapi. 1
  • @
    @linusngure99446 years ago Nikiwa kama msaidiz wa rais mwalimu kwa nzia leo huna kaz icho ki preedety peleka kwenu. 1
  • @
    @seifbaus76 years ago Huyu mwalim ndie mjinga zaid kuliko wote, duh banda linasaidia sn.
  • @
    @rehemamuingia76776 years ago Kiukweli nimeangali hii video nimecheka sn. 1
  • @
    @designskeymediaagency71696 years ago Usiache kusabskwanjii channel yetu. Babu bana hahahahahaha. 2
  • @
    @idrisdemeng72405 years ago Huyu mwalimu, kachapia kinyama hivi kaponaje huyu na sakata la walimu fake? 3
  • @
    @abelgervas46635 years ago Aaaahaaha hii inaonesha nijinsi gan watanzania wengi hawana elimu daah. 1
  • @
    @richardmichael75235 years ago Bobcat anajaa wadau upepo sana! Eti godzilla naye amphibia . 2
  • @
    @allykione44295 years ago Huyo mwl wa secondary nae anapredict mwanafunz wake je? 1
  • @
    @hamisidaud99126 years ago Hahaa, kifua kinaniuma,
    hahaaa, usiachechanel yetu.
    2
  • @
    @hanafispesho70075 years ago Daa hataticha hiinishida mimi nachangia nikikosa nisaidieni niviumbe wasio taga. 1
  • @
    @jacobmwaseba59236 years ago Kuna kufeli kwa aina mbili mwalimu kushindwa jinsi ya kuuliza swali na mwanafunzi kushindwa swali, hapo mwalimu umefeli mana ndio inawezekana raisi akawepo . ...Expand 1
  • @
    @mpegesaaswile65816 years ago Haya siyo maswali ya kiakili hata kidogo maana ni kweli amphibia akawa rais au kundi la wadudu wenye damu baridi kama chura, lakini pia mtu anaweza kujipa jina la amphibia na akawa rais. 1
  • @
    @avitymendezy98915 years ago Amphibia pamoja na kuwa ni jamii ya viumbe waishio majini, sio ukweli kwamba haliwezi kuwa jina la mtu kwa sababu, ukisoma lugha huwa tunasema jina ni . ...Expand 2
  • @
    @ommyweather3465 years ago Huyo mwalimu kweli chenga duh haha! Aah! Aah!
  • @
    @happyarooun60376 years ago Yaani mwalim halafu hajui reptilia amfibi lo afaa kutumbuliw. 1
  • @
    @chrismbalilaki24456 years ago Huyo mwalimu kapona kwenye vyeti feki!
  • @
    @dalalimollelarusha71516 years ago Oyooo usiache kusabuskwani chanel yetu
    nitapredict ghana.
    2
  • @
    @mamlakakahise8195 years ago Anazingua huyo amphibia rais kivip sasa, 1
  • @
    @kingkiwango14356 years ago Presenter nmekuelewa yan mtu aktaka kupatia ww unamchanganya na kumpoteza kias kwamba hata anaejua anaanza potea. 1
  • @
    @aminaluttu6495 years ago We mtangazaji mungu anakuona uyo wa kusabscrib. 1
  • @
    @eliasjilanga23206 years ago Bob cat huyo mwl, kapitwa wap na vyet fet? 1
  • @
    @saheelameir43135 years ago Acheni kuaibisha watu nyinyi kwa mambo ya kihuni.
  • @
    @maureenmuhonja7226 years ago Amphibian: e. G. Frog, salamander anthracosauria etc. Are animals living within arboreal or freshwater.
  • @
    @godfreymlimbila24176 years ago Huyo anachojua yeye kuvaa bagrashia tu. 1
  • @
    @masekete6 years ago Haha wewe wajuachannel haha nisaidiee. 2