Duration 9:33

DR MAGUFULI AKAGUA NDUNDU SOMANGA 65 KM I

197 035 watched
0
559
Published 19 Jul 2013

DR MAGUFULI AKAGUA NDUNDU SOMANGA 65 KM II

Category

Show more

Comments - 125
  • @
    @DottRoBr3 years ago I am an italian man. I studied magufuli, a politician i appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous . ...Expand 11
  • @
    @uwezo865 years ago My fellow tanzanians, lets support our president. 14
  • @
    @bigdreamer88573 years ago Wanaotazama kazi za huyu jemedari wakati yupo mwanza kuagwa nipe like zoote, r. I. P our president. 48
  • @
    @geopolitics943 years ago We will forever miss you president jpm. 5
  • @
    @alphachanneltz26683 years ago Lala salama magufuri
    nione like za kamanda wetu r. I. P.
    36
  • @
    @jumakapilima7295last year A real man that was very patriot to his country! Rip. 2
  • @
    @abednego38765 years ago Anaye muangalia huyu mwanaume wa shoka 2019 alike hapa. 100
  • @
    @baloziwairamba79454 months ago Anayeangalia hii video dec 23/2023 plz like hapa. 2
  • @
    @gitiganiibrahimdanhi76923 years ago Tutakukumbuka daima mzee magufuli ulisimamia ukweli na hukutaka kuyumbishwa na mtu yeyote.
    rest easy our hero jpm.
    15
  • @
    @carubryant64713 years ago Jamani nipo apa 2021 an dah naumia sana. 13
  • @
    @claramhina96053 years ago Da mungu hii damu ispotee bure usikae kimya. Alikua anapenda watanzania siku nyingi. 7
  • @
    @saimonpeter37883 years ago Utabaki kuwa rais wangu milele we baba ulale salam mpendw. 15
  • @
    @josephatkiliko25463 years ago Pumzika kwa amani dk john pombe joseph magufuli mungu akupe pumziko la milele. 6
  • @
    @RD-ml7pi3 years ago Mungu akulaze mahari pema pepon msema ukweli, mchapa kazi mungu akutangulie. 5
  • @
    @kishimbamusic51164 years ago Ambaye anafuatilia 1 julai 2020/shughuli za magufuli alisa waziri was ujenzi. Gonga like. 5
  • @
    @salarytz69115 years ago Mh rais weng wetu tumerud ccm kw ajir yko hongera sana. 21
  • @
    @marcodominico95035 years ago Ndo maana huwa tunasema mtu uwa hafi moja kwa moja. Akifa huwa ana kuwa converted kwa njia nyingine. " nyerere is back " 5
  • @
    @idrissapetro65155 years ago Wewe rais tulikutarajia hawa kunguni wanaongata makario yao acha waendelee wewe chapa kazi mungu akulinde. 12
  • @
    @hamismbotoni55315 years ago Hapo tu ni wazir angalia anavyo jituma wanao muona anatumika madalaka vbaya watakuwa wanamkosea sana yy ndio utendajiwake huwo apend kuleta siasa kwenye ukwel yy kaz tu. 6
  • @
    @mariethapesha28458 years ago Mweshimiwa jpm we nikiongozi2 hakuna mwingine uko juu big up kwakweli. 8
  • @
    @lawrencem36829 years ago Kiongozi bora huletwa na mungu, huyu mzee nimzalendo, pia nimkali sana. Kwahapa tulipofika tanzania tunahitaji rais wa dizainina kura yangu ikuongezee ushindi jpm. 32
  • @
    @williamenos76416 years ago Ulitisha na unaendelea kutisha ntaendelea kuangalia youtube kazi zako za nyuma. 11
  • @
    @olaislukumay22085 years ago Huyu jamaa anauchungu na nchi hii mungu amlinde. 4
  • @
    @smstore55353 years ago Dahsidhan kama tutapata jembe kama dk magufuli tena. Alikua na upekee wake. Mungu amlaze mahali pema ameen! 4
  • @
    @anthonykusita71027 years ago Rais j. M. P nimzalendo wa ukweli tz sijawahi kuona kwa kweli kwa sasa. 13
  • @
    @yohanamaiga30317 years ago You deserved to be a president dkt. Magufuli. 11
  • @
    @johnpesambili48065 years ago Kabisa hii ni zawadi ya watanzania kutoka kwa mungu. 6
  • @
    @jumakapo99145 years ago Kweli baba mungu alikuteuwa uwe mkweli na mkombozi wa tanzania tanzanian owe. 4
  • @
    @mjuba5 years ago Najua wew ni jembe la kazi na ndo maana nilikupa kura yangu. 3
  • @
    @martinswai80313 years ago Pumzika kwa amani jpm. Umefanya kazi kubwa nchi hii. 4
  • @
    @msafiriabdallah76489 years ago Jpm waonyeshe jinsi ya kufanya kazi mawaziri. 14
  • @
    @nuhakamgisha35056 years ago Ndo maana nilimpgia kura. Cz alionekana before. Mungu azidi kumbariki raisi wetu. 5
  • @
    @geraldjacksonmasalu49899 years ago Mabadiliko ya kweli yanatoka kwa magufuli. Sina shaka na ww pia kura yangu umeipata. 11
  • @
    @edwardedward25207 years ago Mh. Jpm mungu aendelee kukulinda una moyo wa dhati kuleta mageuzi ktka taifa. 7
  • @
    @allymkwepu79495 years ago Mzee huyu ana uchungu xana na hii nchi. 5
  • @
    @tzkwanza38616 years ago Jpm nakuibiya siri njoo kwenye barabara ya mtwara tandahimba yani uone vituko uku. 7
  • @
    @chrismutisya8 years ago Imagine. Wakati huu dkt. Magufuli alikuwa tu waziri. 24
  • @
    @frankvianey24382 months ago Aisee kumbe mzee alianza ukali na ufuatiliaji wa mambo zaman sana.
  • @
    @gideonkalumbu52204 years ago Huyu ndiye rais wetu john pombe joseph magufuli tumsaidie huyu ndiye rais wetu. 3
  • @
    @davidmihambo30517 years ago Is the best leader ever but is it 30 ft or 30m road reserve? 3
  • @
    @margarethsolomon98233 years ago Baba ulikuwa mwamba hata kabla ya kuwa rais. Nilikukubali ndani ya moyo wangu. Rest in peace daddy. 3
  • @
    @petromwamlima41209 years ago Tuache mbwembwe, huyu ni kiongozi bora. Anae bisha sitaki ubishi wakati you tube ni watunza kumbukumbu anagalia mwenyewe. Waziri gani amejituma kama yeye mh. Magufuli?
    amefanikiwa kuninasa na kura yangu ameinasa pia, nimejiridhisha na utendaji kazi wake
    .
    ...Expand 42
  • @
    @hojajmagingila10996 years ago Mawaziri wa sasa, hebu jaribuni kufuatilia clip za mh. Rais magufuli akiwa waziri. 9
  • @
    @daudimlamka12392 months ago He was a pure african who loved his continent with her people.
  • @
    @man.lule.5855 years ago Kikwete mwenyewe alimpa jina l tingatinga gurubosa huyu mheshimiwa anamisimamo ya kuitakia maendeleo nchi yetu ya tanzania tangu akiwa waziri. 3
  • @
    @hindisaid24133 years ago Mungu hafundishwi alijua alichokipanga.
  • @
    @mangegervas96515 years ago Rais safi mno. Angekuwa china angenyongwa.
  • @
    @temkezatv43815 years ago Tanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza . ...Expand 1
  • @
    @mamlee7983last year Alikua mtu wa kazi kweli lkini shida alokua nayo ni ukatili na uuwaji hakutaka kukosolewa.
  • @
    @hassanlamata23123 years ago Nimefatilia crip nyingi sana za magufuli amin nawambia huyu mtu hakuwa mtu wa kawaida aliandaliwa na allah hakika kwanza hajawah acha kuvaa beji ya africa kwenye koti lake la suti kama alivyokuwa gadafi. 1
  • @
    @furahafedrick85014 years ago Tbc muwe nakipind maalumu chukuen krip zake toka nyuma akiwa wazir watu wajifunze cyo mpaka mtu afe ndo mwanze kutuwekea maklipu nawaombeni. 3
  • @
    @tzkwanza38616 years ago Njoo kwenye barabara ya mtwara tandahimba uone vituko wameanza kujenga nyumba zao za kukaa na bati juu zimeaza kuingia kutu bado barabara aijaisha. 4
  • @
    @loner_wolf3 years ago Mm natazama akiwa hatunaye tena. Hawa watu wa aina hii wapo wengi sana nchi hii ila kuwapata ni kazi sana kutokana na mfumo wa kujuana uliokithiri id="hidden7" nchi hii. Hawa watu huzaliwa hivyo kama walivyo wala sio kitu cha kufundishwa au kuadopt, when you adopt things, later on tends to filter out and things remain same. But huu mwamba ukianza kazi walisema nguvu ya soda, baadae wakakubali, wakasema vyuma vimekaza, baadae wakazoea wakafurahia maisha, wakasema atapoa, yeye akazid kuchemka tu mpk wakawa wanaomba poh. Hizi ni karama mtuamuweke mahali pema peponi dr jpm. ...Expand 1
  • @
    @thomasmartinez7862 years ago Tuendelee kupata madini 2022 like hapa.
  • @
    @mangegervas96515 years ago Kumbe kutoka zaman ulikuwa c mbabaishaji! 1
  • @
    @neymamchau73116 years ago Jamaa uyo alieshika cm simuelewi anampa lais cm au anamrekon mbona hana heshima. 4
  • @
    @paschalsamwel59215 years ago Najivunia kuwa na rais anayepigania maslahi yawatanzania tupo nyuma yako mh rais magufuli. 5
  • @
    @samwelshepa84433 years ago Nabii hapati heshima nyumbani kwao. Wema umeutenda malipo ni kejeli!
  • @
    @kingmagufuliforever31443 years ago Jpm i mungu wng wa pili nkupnda xn mgufuli.
  • @
    @user-zx3he3lp3o11 months ago Rest in peace magufuli ulikuwa jembe jwa ufisadi n nchj ilipata maendeleo.
  • @
    @mhojamsafiri22735 years ago Huyu jamaa kumbe mwendo wake ni huohuo? Hana mchozo toka kitambo. 3