Duration 12:30

JINSI YA KULINDA FURAHA YAKO ISIPOTEE

15 462 watched
0
459
Published 17 Aug 2020

JINSI YA KULINDA FURAHA YAKO ISIPOTEE Furaha inaweza kuwa chanzo cha wewe kufanikiwa. Kwani hata kichwa huweza kufanya maamuzi mengi mazuri katika utulivu ambao furaha yaweza kuuchangia kwa kiasi kikubwa. Unaweza ukawa na furaha, lakini ikawa vigumu sana kudumu na furaha hiyo. . Vilevile ni rahisi sana kuipoteza furaha kama ilivyo rahi kuanguka toka mtini lakini ni vigumu sana kuipata furaha furaha kama ilivyo kupanda tena juu ya mti kwa speed uliyoangiuka nayo. . Katika somo hili Ezden Jumanne atakufungulia uelewa juu ya namna gani unaweza linda furaha yako isipotee. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Linda #Furaha #Isipotee

Category

Show more

Comments - 43
  • @
    @pascalmosha41934 years ago Pia kingine ezden kujitambua binafsi na kujua madhaifu yako binafsi na yawatu wakaribu sana. 3
  • @
    @frankmassawe87524 years ago God bless you sana broo kwa mafundisho yako tangu niijue channel hii i' m so happy na nafanikiwa zaidi nnapoyafanyia kazihakika mungu andelee kukufunulia zaidi vitu vipya amen. 2
  • @
    @amarislam15894 years ago Mashaalah somo safimengi. Barakallahufik. 1
  • @
    @mariamomar82443 years ago Like a communication skills book, business skills and problem solving skills.
  • @
    @aimeekungwa27013 years ago Asante kakayangu ndajitaidi na mina amini yata ni saidiya sana, aksanti kwa somo nzuri.
  • @
    @hassanovajunior69724 years ago The second and fourth that' s me thanks once again my brother, definitely you' ve helped me so much stay blessed bro. 1
  • @
    @kahejashukuru47972 years ago From kenya mimi ni mkongomani lakini fafundisho yako yamenisaidiya sana.
  • @
    @yekoniafanuel40712 years ago Kaka mungu akusimamie miaka kama yote make kla naposkiliza mafundxho haya nahs kama yamefundishwa leo make hayaishi utam blessed san broo.
  • @
    @intentionsr79464 years ago Hapo kwa communication skills ni kweli kabsa kk.
  • @
    @charlesmyamba85313 years ago Ah broo uko vzur maan toka nianze kukufwatilia nfanya mengi yanatiki.
  • @
    @misahalinga80784 years ago Asante kwa somo zuri, lakini mi naomba unambie ni vitabu vipi vizur kusoma na vimeandikwa kwa lugha ya kiswahili, maana vitabu vingi ni vya lugha ya kigeni . ...Expand 1
  • @
    @helenamusa4324 years ago Asante kaka kuanzia sasa nakua na mipaka ili niwe na fulaha siku zote.
  • @
    @mariamomar82443 years ago Hi how do you get the motivation books.
  • @
    @saumumbukuzi49224 years ago Haswaa hapo kwenye communication skills ni tatizo.
  • @
    @ramadhaniferuzilast year Allah azidi kukuweka kaka ntajitahidi kila video zako niweze kuwa nazifata. 1
  • @
    @rajabujuma87254 years ago " jifunze kupuuzia baadhi ya mambo" asante sana kaka ubarikiwe kwa kutuelimisha.
  • @
    @bashirumussa70454 years ago Habari kaka ezden; hongera kwa elimu nzuri unayoitoa. Je nawezaje kupata vitabu mbalimbali kutoka kwako?
  • @
    @matridachatila68392 years ago Jifuze kuwana masiliano mazuri kiujmla kuwana mdimo. Unaotoa. Maneno mazuri. 2
  • @
    @misahalinga80784 years ago Asante kwa somo zuri, lakini mi naomba unambie ni vitabu vipi vizur kusoma na vimeandikwa kwa lugha ya kiswahili, maana vitabu vingi ni vya lugha ya kigeni . ...Expand 1